steefmzungu.reismee.nl

Mzigo wangu

Wapendwa Bora, Clarice, Karen na Jeroen. *

Hamjambo madada na kaka! Habari gani?

Mimi, nilipofika kwenye kituo cha ndege ya Entebbe, siwezi kutafuta mzigo wangu. Imebaki mjini Cairo! Jana, jumapili, nilisafiri pamoja na Nuulu mji Entebbe kwa kuchukua mzigo wangu. Tulisafiri siku nzima na daladala. Kutoka Nkokonjeru mpaka Kampala, imedumu masaa mawili na nusu. Kuenda kutoka Kampala mpaka Entebbe imedumu saa moja na nusu, kusafiri kutoka Entebbe mpaka kituo cha ndege imedumu saa nusu tu, kwa teksi, lilikuwa gari la kawaida.

Halafu lazima tulingoja kwa muda mrefu kabla ya ofisa alitusaidia. Taxi imetungojea, imetuletea mjini Entebbe. Nuulu na mimi tulikula hapo Entebbe, Nuulu alikula wali na mchicha na nyama ya kuku na mchuzi na soda, mimi nilikula nyama ya mbuzi badala ya kuku. Nilipe shilingi elfu kumi na mia nane kwa jumla. Nilimwambia Nuulu kwamba pale nchini Uholanzi kahawani unaweza kununua soda mbili tu kwa bei hayo!

Kisha tulienda safari nyumbani. Safiri hayo imedumu kwa muda ya masaa kumi na mawili, lakini sasa mimi nina mzigo wangu na nina chupi safi.

Yenu, Steef


* Watu wengine wafanye kutafsiri na 'google translate'!


Reacties

Reacties

Dineke

cras amet qui nunquam amavit, quique amavit cras amet!
Parturiunt montes, nascitur ridiculus mus
Iuvenum pulcherrimus alter, altera quas Oriënt habuit praelata puellis
Arma verumque cano qui primus ab orbis

Karen

Knap als je dit zelf hebt opgeschreven, zover ben ik nooit gekomen. Ik kan wel zien dat de vertaling van Google Translate niet al te best is.
Habari Uganda? Verder houdt ik het maar in het Nederlands.
Leuk om je verslag te lezen en met bagage gaat het vaak mis maar gelukkig komt het vaak ook weer goed.
Veel plezier daar.

Ja helemaal zelf geschreven, een paar woordjes in het woordenboek opgezocht. Vooral luisteren vind ik lastig omdat ik dan te weinig tijd heb om te analyseren!
En er kunnen dan zomaar woorden tussen zitten die je niet kent. Overigens hebben alleen Nuulu en Charles Swahili op school gehad.

{{ reactie.poster_name }}

Reageer

Laat een reactie achter!

De volgende fout is opgetreden
  • {{ error }}
{{ reactieForm.errorMessage }}
Je reactie is opgeslagen!